NHIF HOI, KAMA MAKAMPUNI MAKUBWA YA UZALISHAJI HAYATAJIUNGA
Hali si shwari katika mfuko wa NHIF , kiasi kwamba baadhi ya vituo vya afya na hospital wanagoma kutoa huduma wakidai , hawajapewa malimbikizo ya madai yao ya huduma wanazotoa kwa wanachama.
Baada ya kutumia kitambulisho changu cha NHIF- wanakupatia dawa za kutuliza maumivu; Vidonda vya tumbo wanakupatia Magnesium na homa wanakupatia Panadol; Nyingine ununue ;
Tutokana na ukata huu , mswada utapelekwa bungeni kwa haraka ili kulazimisha mashirika makubwa ya uzalishaji TPA, TANESCO, TRA, BOT na MIFUKO YA JAMII Kujiunga kwa lazima hata kama hutaki.
Malalamiko yamekuja baadaya ya kufanya utafiti ; BANDARI nasikia wamegoma kujiunga NHIF taarifa si rasmi wakidai wanazo kadi wakilalamikia huduma mbovu na ukosefu wa dawa , nasikia walitakiwa waanze kupata huduma kutoka NHIF toka mwezi February wamegoma kujiunga,
Wakidai serikali inawakata sana kwenye mishahara mfano;
MFANYA KAZI ANAELIPWA 750,000 AYA NDO MAKATO YAKE
P.A.Y.E ----------------------------------------------- 30%
MAPATO 170,000 = ASILIMIA SIFURI (0%)
MAPATO YANAYOZID 170,000- 360,000 = 11%
MAPATO YANAYOZIDI 360,000 - 540,000= 20% + 20,900
MAPATO YANAYOZIDI 540,000 -720,000 = 25% + 56,900
MAPATO YANAYOZIDI 720,000 = 30% + 101,9000
2. Mifuko ya Jamii (NSSF,LPF,GPF).................5-15%
3. TRADE UNION (CWT, TUCTA N.k)................ 2%
4. LOAN BOARD........................................15% Penality
5. BANK LOAN.......................................23%
6. SACCOS SHARE...............................5%
7. NHIF...........................................5 %
Ukijiuliza mfanyakazi ana SAVE kiasi gani?
Ushauri haya mashirika ya uzalishaji wafanyakazi walipiwe na serikali hizi gharama kwa 100% ili kupunguziwa mazigo wanaoubeba .
USHAURI WABUNGE WASIUPITISHE;
INGAWA UTALETWA KWA HATI YA DAHRULA ----------------CHINI YA KIGWANGWALA
Source: Jamii Forum
0 maoni :
Chapisha Maoni