Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MBUNIFU WA NEMBO YA TAIFA MZEE FRANCIS MAIGE NGOSHA ANAISHI MAISHA YA KIMASKINI SANA

Mchoraji wa Nembo ya Taifa maarufu kama Adam na Hawa, 
 Image result for nembo ya tanzania images
Mzee Francis Maige Ngosha anaishi maisha duni yasiyoendana na mchango wake aliotoa kwa taifa kabla na baada ya kupata uhuru ambapo anaishi kwa kuomba msaada wa kujikimu.
IMG_6907.JPG
Mzee huyu anaishi Buguruni kama sikusika vibaya.

Chanzo: ITV

Hongereni sana ITV maana hii ndio moja ya kazi za vyombo vya habari.

 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

1 maoni :

  1. Asante kwa taarifa nadhani wahusika wamesikia watamsaidia.hivi anawatoto?nao wasaidiwe

    JibuFuta