Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

POLISI WAONJA NAMBA YA TAMKO LA RAIS "KATA"

Kufuatia agizo la Rais, "KATA" lachukuwa mkondo wake,


Yale maagizo ya Mh Rais wa Tanzania , Dr Magufuli , ya kuhakikisha TANESCO inawakatia umeme wadaiwa sugu yametua kwenye maghorofa ya polisi Kurasini ( maarufu kama Maghorofa ya Relwe ).
Ni siku ya tatu sasa giza totoro linawakabili wana usalama wetu

Haijafahamika kiasi cha fedha ambacho jeshi hilo linadaiwa , na pia haijajulikana sababu za viongozi wa polisi kushindwa kuomba muda kidogo wa kulipa deni hilo kama walivyofanya JWTZ , ili kunusuru askari wetu

Source :Jamii Forum

 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni