Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MHE TUNDU LISSU KUIOMBA MAHAKAMA KUU ITAMKE BUNGE LIONGOZWE KWA KANUNI ZA KUDUMU

Mhe Tundu Lissu asema Mhe Spika Ndugai anapaswa kuongoza Bunge kwa kanuni za kudumu

 
[​IMG]
Upinzani wamefungua shauri Mahakama Kuu Dodoma wakiiomba mahakama itamke kuwa Spika ataliongoza Bunge kwa kufuata kanuni za kudumu tu.

Hii ni baada ya Spika kumzuia John Mnyika kuhudhuria bunge kwa wiki moja ambapo upinzani wamedai hakuna adhabu kama hiyo kwenye kanuni.

Wabunge Watatu Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo Chadema Wamemfungua Mashitaka Mahakama Kuu Ya Dodoma Kupinga Uamuzi Wa Bunge Kuwapa Adhabu Halima Mdee, Estar Bulaya Na John Mnyika

Mdee, Mnyika Na Bulaya Wawashitaki Spika Na Mwanasheria Mkuu

Hakuna kanuni inayosema Spika anao owezo wa kumfungia Mbunge siku saba. Haipo, bali anaingiza kanuni zake mwenyewe kutoka kichwani mwake.
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni