Naona watu wengine zaidi ya 15,000 wakiangukia pua tena katika uhakiki huu mpya kwa kufukuzwa kazi.
Kama unajijua uligushi cheti cha taaluma hata kama unavyeti Orignal vya Sekondari unashauriwa kuacha kazi mara moja kabla haujaja kuaibishwa na kuzalilishwa mbele ya mkeo/mmeo, watoto na wakwe zako cha msingi acha kazi tu kazi
Serikali yetu haina machezo tumezamiria kuijenga Tanzania Mpya na hatutanii kama unacheti feki cha taaluma wewe lala mbele mapema
Ujanja ujanja kwasasa haupo tunataka vitu OG tu
0 maoni :
Chapisha Maoni