Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

ANGALIA SABABU ZA PICHA YA NYOKA JUU YA FIMBO KUWEKWA KWENYE GETI LA HOSPITALI

Nimefuatilia sana hili swala na nimeamua kuomba msaada na majibu,kwa wale wanaoiamini Biblia ktk historia ya Kuumbwa kwa Adamu na HAWA kiumbe huyu Nyoka ndiye aliyetumiwa na shetani kumdanganya HAWA na baadae Adamu na hivyo wakaingia ktk Dhambi na Mungu akaweka Uadui kati ya uzao wa Nyoka na mwanadamu hivyo Nyoka ni Adui wa mwanadamu, Sasa Hospitals na sehemu zingine za kutolea Huduma za Afya ni sehemu tunazokuwa na matumaini ya kupata uponyaji.sasa kwa nini kuna hii picha au mchoro wa huyu kiumbe Nyoka?? Nani mwanzilishi wa Nembo hii ya nyoka na ilianza kutumiwa wapi na maana halisi ya nembo ya kiumbe huyu ni nini?
IMG_20170426_152949.jpg

Sio alama ya nyoka tu, bali huyo nyoka anaonekana kama amewekwa sambamba na fimbo.
Mkuu hiyo ni ishara ya uponyaji na hiyo inatokana na historia ya Musa,
kama ulikuwa haujui basi katika nyakati za nabii Musa kuna kipindi wana wa israel walidhihaki Mungu sasa Mungu akachukia na kuwapa adhabu ya kung'atwa na nyoka, na ilikuwa kwa yoyote yule atakayeng'atwa na hao nyoka basi anafariki, Katika kipindi hiko walikufa watu wengi sana!
Maelfu kwa maelfu,
ndipo hatimae wakasurender na kuanza kumlilia Musa ili aongee na Mungu kusudi awaondoshee ile adhabu,
Ndipo sasa Mungu akamwambia Musa, chukua Fimbo yako kisha uisimamishe pahali penye muinuko, na yeyote atakayeng'atwa na nyoka na akaitazama hiyo fimbo basi atapona papohapo...!
Na ikawa kweli kila aliyeitazama ile fimbo alipona na hakufa, na tangu hapo sasa Mti ukapata sifa ya uponyaji na ukatumika sana kwenye matibabu ya kawaida,
Na ndomana unaona mpaka leo hiyo alama inatumika kuashiria uponyaji, na pia taasisi za afya zanatumia rangi ya kijani katika mavazi na nembo zao ili kuuwakilisha ule mti wa uponyaji (refer dawa nyingi zinatokana na mimea)

  Source: Jamii Forum
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

3 maoni :

  1. Kiukweli nimekuwa nikijiuliza mara nyingi Bila kupata majibu lakinileo baada ya kupita ktk ukurasa huu nimepata majibu ya kunilidhisha ukweli ni kwamba kwa historia ya biblia inaeleza kweli juu ya uponyaji wa wana wa Israel lakini swala hili halikupaswa kutizamwa kama tumaini la milele kwani tunalotumaini jipya ndani ya Kristo Yesu nyoka wa Musa alimwakilisha Yesu kabla hajadhihilishwa kwetu badala ya kutizama nyoka angetizamwa Yesu sasa kwa Imani kuu kwani ndiye uponyaji soma Isaya53:4- pia soma Zaidi 103:3-4 hapo ndio tuelewe kuwahali hii si nzuri zaidi ni roho ya mpinga Kristo watu wa Mungu rudi geuka hii mtazamo ya wapenda Giza isituathili mwamini Yesu update kupona kwani uponyaji wako haupo tena ktk nyoka

    JibuFuta
  2. Mbona wana wa israeI walivyoendelea kuiabudu nyoka Mungu alimwamuru Musa aivunjevunje ili wasiiamini?

    JibuFuta
  3. Mmmmhh sasa kama ilikuwa kwenye vitabu vya Bilblia hukukwetu afrika kumekujqje

    JibuFuta