Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MUME WA FLORA, DAUDI KUSEKWA AFUNGUKA BAADA YA HARUSI

Daud Kusekwa ndio jina la Mume mpya wa Mwimbaji wa nyimbo za Injili Madame Flora (zamani Flora Mbasha) ambapo ndoa yao wameifunga mwishoni mwa April 2017. Baada ya Daud kuona mitandao inavyosema na watu wanavyokosoa muungano mpya wa wawili hao, amekaa kwenye AyoTV na millardayo.com na kuzungumza ya moyoni EXCLUSIVE, bonyeza play kumtazama hapa chini
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni