Wanabodi,
Japo hii ni habari ya kiuchumi ila linapokuja suala la mafuta, mafuta sio uchumi teu, sio biashara tuu, bali ni siasa, yoyote anayetawala biashara ya mafuta, anatawala uchumi wa nchi. He who pays the piper may call the tunes. Akiamua kushusha bei ya mafuta, inchi itaneemeka.
Ununuzi huu umehusisha kuvinunua vituo vya mafuta zaidi ya 100 vilivyokuwa Gapco sasa vitakuwa Total, na kwa jinsi Total walivyo wa kisasa, Tanzania itageuka kama ulaya.
Taarifa zaidi inafuata
Paskali
0 maoni :
Chapisha Maoni