MAMA SAMIA: "NAPIGA GOTI KWA MUME WANGU PAMOJA NA WADHIFA NILIONAO WA UMAKAMU WA RAIS"
Makamu wa rais Samia Suluhu Hassan, amesema pamoja na wadhfa alionao, lakini mbele ya mume wake atapiga goti ili kuonesha mahaba aliyonayo kwake.
Alikuwa akiwaambia wanawake kuwa hawako sawa katika nyanja zote za kijamii na wanatakiwa kutunza mila na desturi nzuri, na kuelezea kuwa hapigi goti kwa sababu ni 'inferior' ila nikuonyesha mapenzi na huba.
0 maoni :
Chapisha Maoni