Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

DAH, MAALIM SEIF HATAMBULIKI NA OFISI YA MSAJILI

Msajili wa vyama vya siasa nchini jaji Francis Mutungi amepinga maamuzi ya Chama cha Wananchi (CUF) kuwafukuza uanachama wabunge wawili wa chama hicho, Magdalena Sakaya na Maftaha Nachuma na kusema Maalim Self hatambuliki kama katibu mkuu wa CUF.
Msajili wa Vyama vya Siasa amesema hayo leo wakati akijibu barua iliyowasilishwa ofisini kwake na katibu mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad ikimtaka msajili huyo kuwavua nafasi ya ubunge viongozi hao.

Wazo; Nadhani Maalim Self anamtega jaji Mutungi.

=======

IMG_2202.JPG IMG_2203.JPG
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni