Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) iwakamate watendaji 12 wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya wakiwamo aliyekuwa mstahiki meya Athanas Kapuga.
MHE. WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
Amesema pia wakamatwe, wakurugenzi watatu, kaimu mkurugenzi, wahasibu
wawili na wajumbe wa bodi wanne kwa kuisababishia hasara jiji hilo kiasi
cha Sh63 bilioni katika ujenzi wa Soko la Mwanjelwa.
Amewataka makamanda wa Takukuru kuanzia leo wawakamate watuhumiwa hao na
kwamba anatuma timu kutoka ofisi ya waziri mkuu kwa ajili ya kuandaa
mashtaka hayo ambapo itatua Mbeya kesho Jumatano.

Home
/
Uncategories
/
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AAGIZA TAKUKURU KUWAKAMATA WATENDAJI 12 WA HALMASHAURI YA MBEYA PAMOJA NA ALIYEKUWA MSTAHIKI MEYA ATHANAS KAPUGA KWA KUISABABISHIA HASARA YA BIL. 63
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
0 maoni :
Chapisha Maoni