Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI AAGIZA MHE, HALIMA MDEE KUKAMATWA MARA MOJA KOSA LA KUMKASHIFU RAIS JPM

Habari nilizozipata hivi punde ni kuwa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Ally Hapi ametoa agizo la kukamatwa kwa Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima James Mdee mara moja kwa kosa la kumkashifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli. Kwa Ufupi:
Ali Hapi anasema, "Mheshimiwa Mdee ameeleza kwamba Rais na amemtaja kwa jina, kwamba amekuwa na tabia ya 'hovyo' na kwamba tabia hiyo ya hovyo imempelekea kuona kuwa maneno yake ndio sheia za nchi.

Pili Mdee anasema ipo siku Rais huyu ataagiza watanzania tutembee vifua wazi. Kwa maana watanzania Wake kwa Waume tutembee vifua wazi barabarani. Nimesikitika sana"

Video ambayo Halima anadaiwa kumkashifu Magufuli



Chanzo: Jamii Forum
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni