Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

ONA UFINYO WA BARABARA YA MWENDOKASI ULIVYOLETA USUMBUFU BAADA YA BASI KUHARIBIKA

Basi la mwendokasi limeharibika kituo cha shekilango Na kufunga njia yake hivyo kulazimisha mabasi mengine kupita barabara ya kawaida Na kuongeza kero . Inaonekana wameshindwa hata kuulivuta kulisogeza usawa wa kituo ili yapishane. Kama basi moja linaleta kero hivi sijui yakianza kuzima double double itakuwaje WP_20170704_14_34_12_Pro.jpg WP_20170704_14_34_05_Pro.jpg WP_20170704_14_38_51_Pro.jpg WP_20170704_14_38_51_Pro.jpg
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni