Mahakama kuu masijala ya Moshi (Moshi Registry), imeruhusu shughuli za kilimo kuendelea kwenye shamba
la kampuni ya Kilimanjaro Veggies inayomilikiwa na FREEMAN MBOWE
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, huku kesi ya msingi ikisubiriwa kusikilizwa
dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Hai Bw.Gelasius Byakanwa.
Askari wa Wilaya ya Hai wakiharibu miondombinu ya shamba
Katika kesi hiyo ambayo Kilimanjaro Veggies inadia fidia ya Millioni 549 kufuatia shamba lake kuingiliwa na kuharibiwa miundombinu yake na mshitakiwa huyo.
Aidha, Kampuni hii ya Kilimanjaro Veggies inawakilishwa na Wakili
Menraid D'souza. Uamuzi huu wa kuruhusu shughuli za kilimo kwenye shamba
hilo umetolewa na Jaji Sumari wa Mahakama Kuu Moshi.
Maombi mengine yaliyomo kwenye kesi hiyo ni pamoja na kuondoa zuio
lililowekwa na Mkuu wa Wilaya ya Hai la kuzuia shughuli za kilimo kwenye
shamba hilo.
Uamuzi huo umetolewa leo tarehe 13. JULY 2017. Kesi hii inafuatiwa baada
ya kitendo cha Mkuu wa Wilaya hiyo cha tarehe 12, June 2017 cha kuvamia
na kubomoa miundombinu na mazao ya shamba linalomilikiwa na kampuni
hiyo lililopo kijiji cha Nshara ambapo ni nyumbani kwa Mhe.Mbowe.
The High Court of Tanzania Moshi Registry has granted an interim order
allowing Kili Veggies Limited a Company owned by Hon.Freeman Aikaeli
Mbowe to resume it agriculture activites on its farms which was earlier
stoped by the orders of Hai District Commissioner Mr.Gelasius Byakanwa.
In a rulling divered by Honorable Sumari, Judge of the Moshi Registry
High Court following an application filed by the company through the
services of Mr Menraid D'souza Advocate in the matter which the District
Commissioner is sued in his personal capacity.
Kilimanjaro Veggies is claiming some of Tshs.549 Million against the DC who, according to the claims of the company, the DC had trespassed and destroy the green house infrastructure of the farm owened by the company without any legal or administrative justifications.
Hapo awali Mkuu wa Wilaya ya Hai, aliamuru Shamba hilo kuharibiwa.
Habari zaidi soma=>Mkuu wa Wilaya ya Hai, aamuru shamba la Freeman Mbowe la Mbogamboga liharibiwe, Mbowe alaani!
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
0 maoni :
Chapisha Maoni