Mauti imempata jana usiku saa 4 siku chache baada ya kulazwa hospitali.
Rais mstaafu Mhe Masire aliachia ngazi mwaka 1998 na mrithi wake akawa aliyekuwa makamu wake wa Rais Mhe Festus Mogae, na kuwa Rais wa awamu ya 3 nchini Botswana. #RIPQKJMasire #Condolences kwa ajili ya familia. #TheNationMourns
0 maoni :
Chapisha Maoni