Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

KONDOO AZAA KIUMBE CHENYE MWONEKANO WA BINADAMU

Kiumbe kilichozaliwa na kondoo kikiwa na mwonekano wa binadamu
upload_2017-6-23_11-44-2.png
Imetokea Afrika Kusini katika mji wa Lady Frere kondoo kuzaa mtoto kama binadamu na kuzua taharuki miongoni mwa jamii. Hata hivyo, wataalamu wa mifugo wamekanusha kwamba huyo kondoo sio nusu kondoo nusu mtu bali kondoo aliyekabiliwa na ulemavu wakati wa mimba na kusababisha afanane na binadamu.

Watalamu hao, waliothibitisha kwamba hili tukio ni kweli limetokea, wamesema watafanya utafiti zaidi kwa kiumbe hicho na matokeo yake kutolewa kwa jumuiya.

Source: African News Agency
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni