Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MISHAHARA YA WAALIMU NA WATUMISHI WENGINE WA TAMISEMI JUU, YATANGAZWA NA MHE JAFO

Naibu waziri Jafo ameendelea kueleza kwamba serikali imejipanga vzuri katika kuongeza mishahara na posho kwa watumishi wake hasa kwa walimu wote wa serikali kutekeleza agizo alilosema Rais Dk John Pombe Magufuli wakfati akiwa katika viwanja vya Kilimanjaro Mei mosi.  

Akijibu swali leo bungeni, Jafo amesema kwamba walimu wakuu kwa sasa wanalipwa posho ya laki mbili na kuongeza motisha kwa walimu katika kusimamia sekta ya elimu pia amesema kwamba serikali imejipanga kujenga nyumba nyingi kwa watumishi wake ili kuondoa kero zote.
Kupanda madaraja kutaanza mapema mwaka huu kutokana na kuisha kwa uhakiki wa vyeti feki na kwamba watumishi hasa walimu wasiwe na wasiwasi katika kipindi hiki (2017-2018) -Naibu waziri Jafo alisema
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni