Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MHE MNYIKA AIBUA POSHO YA ASKARI ADAI WAPASHWA KULIPWA 150,000/= BADALA YA 100,000/=

Mbunge wa jimbo la Kibamba, Mheshimiwa John Mnyika amesema kwamba kwa pamoja na kutolewa bunheni na maaskari lakini wanatakiwa kujua kuhusu ukweli wa posho zao.
Mnyika amesema kwamba posho za askari zilizopitishwa kwenye Bunge ni laki1.5 (150,000) lakini mpaka leo polisi wanalipwa laki1 tu pekee (100,000).

Polisi katika katiba yao wanasema kwamba kuna vyama vinavyochochea fujo na kuondoa amani kipindi wakifanya mikutano yao na njia sahihi ni kuvibana vyama hivyo alisema John Mnyika.

"Polisi kwa sasa nao wana mgomo baridi kutokana na posho zao kutokuongezwa kutoka laki1 mpaka laki 1.5 kama ilivyopitishwa na bunge tukufu na hapa nina nyaraka zinazoonyeha kuongezwa kwa posho hizo" aliongeza kusema Mbunge John Mnyika
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni