Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

KAULI NNE ZA VIONGOZI WA SERIKALI KUHUSIANA NA WATOTO WANAOPATA MIMBA WAKIWA SHULENI

SERIKALI.....
Image result for MKURUGENZI WIZARA YA ELIMU PAULINA MKONONGO images
SERIKALI I
"Serikali imeweka dira itakayowawezesha wasichana kuendelea na masomo baada ya kujifungua huku wale waliowapa mimba, wakishughulikiwa kikamilifu." Paulina Mkonongo, Mkurugenzi wa Elimu ya Sekondari, Wizara ya Elimu - 01 Disemba 2015.
_______________________________

SERIKALI II


Image result for ummy mwalimu images "Serikali imeamua kuwa wanafunzi wa kike wanaopata mimba wakiwa shuleni wasifukuzwe, bali waendelee na masomo." Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya, akiwa Chuo kikuu kishiriki cha UDSM cha Elimu (DUCE), 27 Aprili 2017.
________________________________

SERIKALI III


Image result for Samia Suluhu images "Serikali inaelekeza Wasichana wanaojifungua warudi na kuendelea na masomo shuleni." Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (06 June 2017- Gazeti la The Citzen).
________________________________

SERIKALI IV


Image result for Rais magufuli images "Katika kipindi changu cha utawala, mwanafunzi yeyote wa kike (shule ya msingi na sekondari) akipata mimba ni marufuku kurudi shuleni. Siwezi fanya kazi ya kusomesha wazazi." Rais John Pombe Magufuli, 22 Juni 2017, Bagamoyo - Pwani.






Chanzo: Jamii Forum________________________________
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni