Habari zaidi zitaendelea kuwafikia kadri zinavyopatikana.
UPDATE 1:
Mwenyekiti wa CCM tawi la njia nne, Kata ya Mtunda, amepigwa risasi na kuuawa usiku huu. Mtoto wake amejeruhiwa kwa risasi ya Tumbo.
Hii ni taarifa ya awali kutoka eneo la tukio.
Chanzo: Jamii Forum
0 maoni :
Chapisha Maoni