Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

WATOTO MAJERUHI WALIOPELEKWA MAREKANI WAANZA KUTABASAMU, SIKU 10 RUKSA KUWAONA


MTOTO Wilson, anayeonekana hapo chini kwenye picha kushoto, leo ameanzishiwa mazoezi ya viungo (Therapy), baada ya zoezi la UPASUAJI kukamilika, na MADAKTARI wamesema leo kwa mara ya KWANZA ameweza KUKAA mwenyewe kwenye kitanda chake, na kwamba alikuwa amejawa na TABASAMU kubwa***
MTOTO Sadia (anayeonekana kwenye picha hapa chini upande wa kulia) ameanzishiwa mazoezi ya VIUNGO (Therapy) leo baada ya zoezi la UPASUAJI kukamilika. MADAKTARI wamesema MTOTO Sadia leo kwa mara ya KWANZA ameweza KUSIMAMA mwenyewe, na waliona kama MUUJIZA, na ameweza KUONGEA vizuri***
MTOTO Doreen (picha yake ya leo haijawekwa), amepewa MAPUMZIKO maalumu Siku Nzima ya leo akiwa anaandaliwa tayari kwa UPASUAJI wa uti wa mgongo 'spine' kesho, ALHAMISI mapema ASUBUHI*** Tuendelee KUWAOMBEA. (Picha kwa hisani ya D. Meyer, Sioux City IA).
tmp_3402-FB_IMG_1495046579551-705701564.jpg tmp_3402-FB_IMG_1495046595848-2019742037.jpg tmp_3402-FB_IMG_1495046589624748819958.jpg
=====UPDATES
UPDATE: Madaktari wa Mercy Hospital WAMESEMA kwa sasa WOTE ambao wangependa KUWATEMBELEA WATOTO wasubiri kwa takribani SIKU 10 kuanzia sasa

 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni