Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

KIPANYA:HAKUNA UHURU WA HABARI NAPATA SHIDA SANA,KWANI HABARI ISIYOTAKIWA NDIYO HABARI, ZINGINE NI PR TUU

Kipanya akiongea kuhusu uhuru wa habari amesema kuwa uhuru wa habari Tanzania hakuna amesema amekuwa akipata wakati mgumu sana kutokana na katuni anazochora kwa kuwa wahariri wa gazeti la Mwananchi wanapewa wakati mgumu na watu walio karibu na rais na wao kumpa wakati mgumu
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni