Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

ZIJUE TAASISI ZINAZOONGOZA KWA RUSHWA

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ‘TAKUKURU’ Mkoa wa Temeke imezitaja taasisi ambazo zinaongoza kwa kulalamikiwa kwa vitendo vya rushwa ndani ya tisa iliyopita ikiongozwa na Halmashauri ya Temeke. Akiongea na waandishi wa habari Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Temeke Pilly Mwakasege amezitaja taasisi hizo kuwa ni pamoja na Manispaa ya Temeke, Mahakama, sekta binafsi, Polisi, Ardhi, Afya na Idara nyingine. Mpaka sasa TAKUKURU imefungua mashauri mapya matatu Mahakamani huku mashauri manne yakiwa yanaendelea kusikilizwa Mahakamani katika hatua mbalimbali huku ikiokoa zaidi ya Tsh. 99m ikiwemo mishahara hewa na kujilipa posho isiyo halali ndani ya miezi hiyo tisa. Nimekuwekea hapa full video, bonyeza play kutazama…
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni