Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

FIGA MOJA HALINJIKI CHUNGU,HAYO NI MANENO YA MAULID BARAKA KITENGE

Hapo ni mtangazaji nguli Maulid Baraka wa Kitenge akiwatendea haki wake zake wawili wa ndoa, wakati akisakata rumba maeneo fulani fulani,

image.jpeg
Mzee wa Ganda la ndizi...Swahiba Maulid Baraka wa Kitenge akiwa na wake zake wakipata burudani ya mziki.
Hii ndio furaha ya uke wenza,hampigani wala kutupiana maneno..Mnacheza na bwana kwa nafasi na kujiachia bila masimango.

Figa moja haliivishi chungu
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni