VIDEO YA NAMNA DEREVA WA BAJAJ ALIVYOKIMBIA NA KUICHA BAJAJ BAADA YA KUJIKUTA AMEINGIA MWENDOKASI
Leo April 20 2017 Dar es salaam Nimekutana na hii Bajaji Ubungo imeingia kwenye Barabara za Mwendo kasi, Baada ya askari Polisi kufika Dereva wa Bajaji kakimbia kamuacha abiria ndani ya bajaji.
0 maoni :
Chapisha Maoni