VIDEO YA HALIMA MDEE VS GOODLUCK MLINGA BUNGENI LEO
VIDEO: Halima Mdee Vs Goodluck Mlinga Bungeni
Hii ilitokea bungeni Dodoma wakati wakati wabunge wakichangia bajeti ya Wizara ya TAMISEMI ambapo Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga aliposimama na kuwakosoa wapinzani baada ya kukosa nafasi ya uwakilishi wa wabunge wa Afrika mashariki, Mbunge wa Kawe Halima Mdee akalazimika kusimama kuomba mwongozo.
0 maoni :
Chapisha Maoni