Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

UHAKIKI WA VIBALI VYA UKAAZI KWA KUTUMIA MFUMO WA DIGITALI

UHAKIKI WA VIBALI VYA UKAAZI KWA KUTUMIA MFUMO WA KIELEKTRONIKI

A 1

Kamishna Jenerali  wa Idara ya Uhamiaji Dkt. Anna Makakala akifafanua jambo kwa  waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mfumo mpya wa kielektroniki wa uhakiki  vibali vya ukaazi ujulikanao kama  “E – Verification” mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

A 2
Kamishna Jenerali  wa Idara ya Uhamiaji Dkt. Anna Makakala (kulia) akizungumza na maafisa Uhamiaji na  waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa mfumo mpya wa kielektroniki wa uhakiki vibali vya ukaazi ujulikanao kama  “E – Verification” mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
A 3
Baadhi ya maafisa Uhamiaji na waandishi wa habari wakimsikiliza Kamishna Jenerali  wa Idara ya Uhamiaji Dkt. Anna Makakala (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa mfumo mpya wa kielektroniki wa uhakiki  vibali vya ukaazi ujulikanao kama  “E – Verification” mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
A 4
Kamishna Jenerali  wa Idara ya Uhamiaji Dkt. Anna Makakala (kulia) akifuatilia jambo wakati wa uzinduzi wa mfumo mpya wa kielektroniki wa uhakiki vibali vya ukaazi ujulikanao kama  “E – Verification” mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Afisa Utawala na Fedha wa Uhamiaji Edward Chegero na kushoto ni Afisa wa vibali na Pasi wa Uhamiaji Musanga Etimba.
Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni