Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

SIYO ELIMU BURE BALI NI ELIMU BILA MALIPO "WAZIRI SIMBACHAWENE"

Serikali haikuwahi kusema kuwa itatoa Elimu bure kuanzia shule ya msingi Hadi kidato cha nne, wananchi walielewa vibaya. Serikali ilisema itatoa Elimu Bila Malipo na sio elimu bure." -Waziri Simbachawene. Source: Azam tv habari Kauli ya Rais hii hapa; Source:Jamii Forum
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni