Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

ONA MREMA AMSHTAKI MBATIA KWA WANANCHI VUNJO AACHIE NGAZI KWA SABABU NI MGONJWA


Mwenyekiti wa chama cha Tanzania labour party (TLP) taifa ,Agustino Mrema amemshtaki kwa wananchi mbunge wa Jimbo la vunjo James Mbatia kwamba ameshindwa kutekeleza ahadi alizoahidi ikiwemo swala la miundombinu na amekuwa haonekani bungeni kwa kipindi kirefu kupeleka kilio chao, [​IMG]

Aliwataka wananchi watathmini kauli aliyoitoa mbatia kuwa yeye ni mgonjwa na asichaguliwe ambapo Mrema alihoji ugonjwa unaomsumbua Mbatia na kumfanya asishiriki shughuli za maendeleo jimboni kwake na kudai kuwa Mbatia ndio mgonjwa na kuwataka wananchi wamkatae

[​IMG]
Source: Jamii Forum

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni