Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

SAMATA ASOGELEA KUHITAJIKA MAN UNITED NA ASERNAL


Mshikaji wake Samatta ameripotiwa kuhitajika na Man United na Arsenal,

Kuelekea kumalizika kwa msimu wa Ligi Kuu England na kuelekea kipindi cha usajili cha majira ya joto, tayari majina ya wachezaji wanaonekana kufanya vizuri yameanza kuhusishwa kujiunga na timu fulani, Wilfred Ndidi ambaye alijiunga na Leicester City January akitokea KRC Genk ya Ubelgiji jina lake limerudi kwenye headlines za usajili tena

 

                     Kutoka kushoto ni Ndidi, Omar Colley na Mbwana Samatta

Ndidi ambaye ana miezi michache toka ajiunge na Leicester City akitajwa kama mbadala sahihi wa kiungo N’golo Kante aliyejiunga na Chelsea, ameanza kuripotiwa kuhitajika na timu za Arsenal na Man United, mtandao wa 90min.com umeripoti timu hizo kuanza kumfuatilia kwa karibu kutokana na kiwango chake.

Source: Millard Ayo

 

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni