Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

UBADHIRIFU KWENYE VISIMA WAMNG'OA MEYA DODOMA

Madiwani wa Manispaa ya Dodoma leo wamepiga kura ya kutoliwa na imani na Meya wao Jaffary Mwanyemba Diwani wa Kata ya Viwandani, baada ya tuhuma za ubadhirifu na moja kubwa ni Visima vilivyotarajiwa kupewa msaada na Serikali ya Japan katika Kata ya Zuzu.
Kura

  • Madiwani waliokuwa na imani naye ni 4
  • Madiwani waliomkataa ni 43
  • Madiwani wasiohudhuria 8
  • Diwani kura iliyoharibika 1
Jumla ya kura zote 56 (zikiwemo za Wabunge na viti maalum)


Source : Jamii forum
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni