Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

ONA DKT MWELE, JIWE LILILOKATALIWA NA WAASHI LAWA JIWE KUU LA PEMBE

Dkt. Mwele Malecela aliyekuwa Mwanamke wa kwanza kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NIMR na kisha 'kutumbuliwa' baada ya kutangaza uwepo wa homa ya Zika nchini, sasa anakuwa Mkurugenzi wa Vituo vya kuzuia na kudhibiti magonjwa Afrika wa Umoja wa Mataifa (WHO-AfRO)


IMG_4949.JPG

Ameondoka jana na kituo chake cha kazi kitakuwa Brazaville nchini Congo.
 


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni