NAPE AULIZA MASWALI NA LA NYONGEZA
VIDEO: Maswali mawili ya Nape Nnauye bungeni leo
April 24, 2017 mkutano wa saba wa bunge umeendelea ambapo katika kipindi cha maswali na majibu kati ya wabunge waliopata nafasi ya kusimama na kuhoji serikali ni pamoja na mbunge wa Mtama Nape Nnauye aliyehoji hatua za serikali katika kuboresha zao la korosho nchini, majibu yakatolewa na Naibu Waziri wa Kilimo, mifugo na uvuvi William Ole Nasha
0 maoni :
Chapisha Maoni