Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MHE WAZIRI MWIGULU NCHEMBA ATANGAZA OPERESHENI ISIYO NA KIKOMO KUFUATIA MAUAJI YA POLISI KIBITI


Image result for mwigulu nchemba
                 WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MWIGULU NCHEMBA
 
Akihojiwa na mwandishi Zuhura Yunus wa BBC Mwigulu amesema awali walidhani sintofahamu hiyo inasababishwa na migogoro ya ardhi iliyokithiri ktk eneo hilo.
Lakini baadae ikaja kuonekana kama inahusiana na imani, kwamba kuna wale wa imani kali ambao wanataka kulazimisha jamii iachane na msimamo wa kiimani wa wastani.

Ukiangalia haya ni mauaji ambayo hayajaendana na uporaji hivyo akasisitiza huu bado unatafsiriwa kama ni uhalifu, na hatuwezi kuuita kama vile wengi wanavyodhani.

Mwisho waziri ametangaza operesheni isiyo na kikomo hadi wahalifu wote wapatikane.Souce BBC Swahili Habari.

My take niliwasikiliza baadhi ya wanakijiji walioongea jana wakisema uwepo wa polisi umefanya maisha yao kuwa ya amani.

Nikajiuliza hivi ni nani hao wanaosababisha uvunjifu wa amani hadi kuwaua askari wetu?!


Source : Jamii Forum
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni