KAMPUNI ZA MADINI HAZIJALIPA KODI MIAKA 15 ETI HAZIJAWAHI KUPATA FAIDA, LAKINI BADO ZIPO "CAG" VIDEO KAMILI
April 13, 2017 - Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad amewasilisha ripoti ya mwaka wa fedha ulioishia June 30, 2016.
Katika vitu alivyoelezea ni pamoja tatizo kitendo cha makampuni ya madini nchini kutolipa kodi zitokanazo na faida kwa miaka yote.
Prof. Assad amesema…
‘Kampuni za madini zimekuwa zikitengeneza hasara kwa nchi, kampuni zote za madini hazijawahi kulipa kodi kutokana na faida kwa miaka yote ’
‘Inawezekana vipi watu wakawa wanaendesha miradi ya madini kwa miaka 10,15 wanapata hasara na hawaondoki? Sasa tunafikiri hapa kuna tatizo’.
Full video ya CAG akielezea nimekuwekea hapa chini tayari…
0 maoni :
Chapisha Maoni