MHE DR MWAKYEMBE AMTUHUMU MHE NASSARI KUINGIA BUNGENI AMELEWA
April 20, 2017 Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr. Harrison Mwakyembe alimemtuhumu Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari kwa tukio la kuingia bungeni akiwa amekunywa pombe na kutaka kuingia na chupa ya bia aina ya konyagi.
Full video nimekuwekea hapa chini tayari…
0 maoni :
Chapisha Maoni