Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

VIDEO YA MREMA ANAVYOLALAMIKIA MBATIA NA KWAMBA ATAVUA NGUO

Mwenyekiti wa bodi ya Parole Augustino Mrema amemtaka mbunge wa Vunjo James Mbatia atimize ahadi yake ya kumpelekea mfuko wa sukari kilo 50 kila mwezi pamoja na majani kama alivyoahidi kwenye kampeni zake mwaka 2015. Mrema amesema tangu Mbatia amekuwa mbunge hajawahi kwenda kumuona na ameongeza endapo hatampelekea sukari hiyo atavua nguo. Bonyeza play hapa chini kusikiliza:
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni