Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

KITILIA ATOA NENO LA MOYONI BAADA YA KUAPISHWA "VIDEO"

Prof. Kitila amesema katika maisha yake ametumia muda mwingi kuihoji serikali lakini kwa sasa Rais amempa kazi ya kujibu alichokuwa anakihoji serikalini. ''Ukipewa kazi na Mkuu wa Nchi unashukuru Mungu na jukumu langu ni kufanya kazi kwa bidii. Ninaahidi nitakusaidia wewe na Mweshimiwa Waziri wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji kuhakikisha kwamba ajenda yako ya kuwafikia Watanzania na kuwaboreshea maisha tunaifanikisha'' Prof. Kitila Alisema. Source: jamii forum
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni