Madame Flora ameliambia Swaggaz kuwa ndoa hiyo itaambatana na uzinduzi
wa albamu yake mpya inayoitwa Wakati Wake pamoja na kitabu
alichokipachika jina la Siri za Flora Mbasha.
“Ndoa itafungwa asubuhi na jioni kutakuwa na sherehe ya harusi, utambulisho wa albamu yangu mpya pamoja na kitabu, watu wote wanakaribishwa kadi zimebaki chache tu kutokana na idadi ya ambayo imepangwa na kamati,” alisema Flora.
Chanzo. Mtanzania
0 maoni :
Chapisha Maoni