Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

BURIANI ISANGO







Enzi ya uhai wake,
Isango.png
Marehemu Josephat Isango

[​IMG]
Mwanahabari na mwanaharakati Josephat Isango ameaga dunia asubuhi ya tarehe 14/04/2017 katika hospitali ya Puma mkoani Singida alikokuwa amelazwa kwa muda akipatiwa matibabu.

Mwenyezi Mungu ailaze mahali pema roho ya Marehemu Josephat Isango, Amina.


Leo siku ya Jumanne Aprili 18, Marehemu Josephat Isango anazikwa Kisasida mkoani Singida na picha ya chini ikionyesha mwili wa Marehemu ukitolewa Mochwari tayari kwa safari ya kuagwa na kuzikwa.

Hospitali.png
Mwili wa Marehemu ukitolewa Hospitali kuelekea kijijini kwake

Mjane1.png
Mjane wa Marehemu
Umati.jpeg
Baadhi ya waombolezaji.

DC.jpeg
Mkuu wa Wilaya ya Uyui
Lema.jpeg
Mbunge wa Arusha, Mh. Lema
Mbowe.jpeg
KUB, Mh. Mbowe
Kubenea.jpeg
Mbunge wa Ubungo, Mh. Kubenea

SOURCE : Jamii Forum
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni