Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

ZIWA NYASA NI LETU "PETER MUTHARIKA" HAKUNA UMILIKI WAWILI, je Msumbiji?


Rais wa Malawi Peter Mutharika ametangaza kuwa hakuna nchi ambazo zinamiliki kwa pamoja Ziwa Nyasa na kwamba hajafikia makubaliano na nchi yoyote, hivyo ameahidi kulinda umiliki na maslahi yake.





FB_IMG_1490814962127.jpg

Mbona Mhe Rais P Mutharika huko msumbiji mnamiliki wawili hadi Msumbiji kumilik na visiwa, iweje Tanzania?

Source: Jamii Forum


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni