Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

NDIYOOO ZA CCM ZAUZA NCHI "SAKATA LA MCHANGA"

Sakata la upelekekaji wa mchanga nje ya nchi chanzo chake kimesababishwa na wabunge wa CCM. Ikumbukwe kuwa sheria ya madini ya mwaka 1998 wao ndo walijifunga kibwete kuhakikisha inapita kwa uwingi wao bungeni.

Hii ni baada ya ya kuwepo kwa tetesi wao na waziri wa madini wa kipindi hicho walipewa takirima kupitisha muswada huo. Nchi kupewa murahaba wa asilimia 4% hauna tija kwa nchi lakini walihakikisha sheria hiyo inapita kwa nguvu zote. I'ts too late maana hiyo ni mikataba ya kimatifa.

Ukishampa mwekezaji kuchima dhahabu kwenye ardhi, chochote anachopata humo ni halali yake. Ni sawa kuuziwa embe unalimenya unakula maganda, unakula nyama ya ndani alafu unamwambia mlaji sasa kokwa na kambegu cha ndani ni mali yangu. CCM mmeuza nchi wenyewe hata mkiachiwa huo mchanga itawachukua karne kufanya extraction au mkajengee nyumba.

Re-think guys maamuzi mnayofanya si kwa sasababu ya uwingi wengi, lakini muangalie maslahi ya nchi na watoto, wajukuu zenu, vitukuu vyenu na kizazi na viumbe vijavyo.
Source: Jamii forum
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni