Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

SERIKALI INACHUMIA TUMBONI: ZITTO


Hayo, yalisemwa Bungeni leo na Mhe Zitto Kabwe alipokuwa akichangia kuhusu bajeti ya mwaka 2016/2017

hgjjjImage result for zitto kabwe image
Mhe Zitto Kabwe




 Zitto ameyasema hayo mbungeni dodoma,amesema serekali inakusanya hela kwa ajili ya matumizi na sio kwa maendeleo.

Ametolea mfano mpaka sasa maendeleo pekee ni bombadia na reli tu.

Zitto aliulizwa na mwandishi wa ITV tathimini yake juu ya bajeti inayomalizika ya 2016/2017

Zitto bana,Eti wanakusanyia tumbo badala ya maendeleo ya watu du!

Source:  Jamii Forum
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni