Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

ABIRIA ARUSHA WASOTA BAADA YA TRA KUKAMATA MABASI YA KILIMANJARO



Wakuu habari,

TRA kwa mara nyingine leo asubuhi wamenyoosha rungu lao kwa kampuni ya mabus ya Kilimanjaro kwa kutokulipa kodi.

Aidha dhahma hiyo imetokea leo jijini Arusha baada ya abiria waliokuwa wamejiandaa kusafiri na mabus ya kampuni ya Kilimanjaro kurudishiwa nauli zao ili watafute usafiri mwingine.

Aidha wamiliki wa kampuni wamehaha kuhakikisha wanajiepusha na aibu hiyo kwa kuanza mchakato wa kulipa kodi. huku TRA wakiapa bado kuna mabus 500 mengine yapo njiani kukamatwa kwa kudaiwa kodi.

poleni abiria kwa kadhia iliyowapata

IMG_20170328_172820_609.JPG

Source: Jamii Forum
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni