Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MSUMBIJI: WATU 6 WAFARIKI KATIKA AJALI YA NDEGE ILIYOGONGA MLIMA






 Mabaki ya ndege iliyoanguka kwa kugonga mlima Vumba mpakani mwa Msumbiji na Zimbabwe,


[​IMG]


[​IMG]
Msumbiji imethibitisha kuwa ndege binafsi iliyobeba watu sita ilianguka na kusababisha vifo vya watu watano, na hali ya mtu mwingine bado haijulikani

Ndege hiyo iliyotoka Beira, Msumbiji na kuelekea Harare, Zimbabwe iligonga mlima Vumba karibu na mpaka kati ya Msumbiji na Zimbabwe na kuangukia nchini Zimbabwe

Idara hiyo imesema hali mbaya ya hewa inaweza kuwa chanzo cha ajali hiyo. Timu ya mafundi inayoongozwa na Zimbabwe imeanza uchunguzi wa ajali hiyo, huku idara hiyo ya Msumbiji ikisema ina wajibu wa kushirikiana na timu hiyo kwa kuwa ina data muhimu zinazoweza kusaidia uchunguzi huo.

Chanzo: CRI/Kiswahili
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni