Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

SHEHE AMBAKA MSICHANA WA MIAKA 17 MSIKITINI

Azam News walifika nyumbani kwa wazazi wa mtoto huyo na baba wa mtoto huyo akaiomba serikali imsaidie kwa hali na mali na kuelezea alivyoshangazwa na mashehe kufanya suala hilo
 

Binti huyo akielezea anasema alipofika ndani aliwakuta mashehe wawili, shehe wa kwanza akatoka nje akabaki na shehe mmoja, kisha akamwambia avue nguo, alivyokataa akamfunika na shuka jeupe na kumuingilia Tukio hilo linaelezwa kutokea Ijumaa ambapo mashehe hao walikuja msikitini wakasema wanataka wanawake waislamu na wakafanya kongamano na kudai watatoa dawa za kuwatibu wanawake wanaoumwa matumbo, chango,miguu, kisukari na BP
Licha ya kupeleka taratibu hizo kwenye vyombo vya kisheria bado taratibu zinaendelea kubaini chanzo cha tukio hilo

Kwa hisani ya: Azam News
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni