Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

KUDADADEKI :LISSU ATINGA KORTINI NA FULANA YA UKUTA,

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, na Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu, akipelekwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu muda huu.
IMG_20170724_125754.jpg
Vijana wa CHADEMA Gwamaka, Wamajiwa na Frank waliokuwa wamekamatwa na polisi wakiwa Mahakamani kumsubiri T. Lissu wameachiwa

=> Mawakili wa Jamuhuri wanataka Tundu Lissu anyimwe dhamana kwa hoja Kwamba ana kesi nyingi na anabomoa umoja !!

=> Amesimama Wakili Wa Utetezi Dada Fatuma Karume kupangua hoja za Jamuhuri

=> Upande wa utetezi unaendelea kupangua hoja za Jamuhuri, kamaliza Fatuma Karume sasa amesimama Wakili Peter Kibatala !!

PICHA
FB_IMG_1500896499844.jpg
FB_IMG_1500896506343.jpg
Mwanasheria Tundu Lissu akiwa Mahakamani muda ambapo zaidi mawakili 21 wamejitolea kumtetea kwenye kesi yake.
IMG_20170724_144943.jpg
Mawakili Peter Kibatala na Fatma Karume wakinena jambo mahakama ya Kisutu kabla ya kusikilizwa kesi ya mteja wao, Mbunge Tundu Lissu.
Mahakama imemnyima dhamana Rais wa TLS, Tundu Lissu, kesi imeahirishwa hadi July 27, 2017 kwa ajili ya kutolewa uamuzi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni