Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MKURUGENZI WA THRDC AHOJIWA KUHUSU URAIA WAKE NA MAAFISA WA UHAMIAJI, LABDA KUNA MAHUSIANO NA MADAI YALIYOKUSUDIWA KUFUNGULIWA MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI LIKIWEMO BUNGE LIVE

Leo, tarehe 24, Julai 2017, askari wa uhamiaji kutoka wilaya ya Kinondoni wamewasili ofisi ya THRDC (Tanzania Human Rights Defenders Coalition) bila taarifa ya awali, na kumhoji Mratibu wa THRDC, Bwana Onesmo Ole Ngurumwa kuhusu uraia wake kwa muda wa saa moja.


[​IMG] 
                              Onesmo Ole Ngurumwa
Awali ya hapo, watu hao walianza katika ofisi za LHRC (Legal and Human Rights Centre) ambako walitaka baadhi ya tarifa za Bwana Onesmo kutoka ofisi yake hiyo ya awali.
Sababu za kuhojiwa kwa Bwana Onesmo Olengurumwa hazikuwekwa wazi zaidi ya kusema kuwa wamepewa maagizo toka juu wafanye kazi hiyo na watarudisha taarifa kwa wakuu.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni