Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

MAAJABU YA DEMOKRASIA, MKUU WA MKOA SONGWE AAMURU BENDERA ZA CHADEMA KUSHUSHWA KUPISHA ZIARA YA WAZIRI MKUU

Habari iliotufikia hivi punde ni kwamba bendera za CHADEMA wilayani Tunduma zimeshushwa na jeshi la polisi ili kupisha ziara ya Waziri Mkuu. Amri hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe bendera zote zishushwe mpaka Waziri Mkuu amalize ziara yake.
     Kwa kuwa Waziri Mkuu yupo Tanzania maanake bendera za       CHADEMA zishushwe kote Tanzania

Image result for chadema tunduma images
Mji wa Tunduma na shamra shamra za wanachama wa CHADEMA
Hivi demokrarasia ya vyama vingi imeshafutwa maana nawaona wabunge wa CCM, Humphrey polepole na Hamidu Shaka wakiendelea kufanya mikutano yao ya siasa katika jimbo lao la Tanzania wakipinga dhana ya malaika ya hapa kazi.
POLISI ni kwaajili ya kutulinda Raia na wanyewe wameshachukua kadi za CCM sasa hivi wanafanya kazi za chama.
Chanzo: Katibu wa wilaya CHADEMA.
 

 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni