Zilizopendwa Zaidi

Wapendwa
Breaking
Inapakia...

LISSU KUONGOZA JOPO LA MAWAKILI 29 KUMTETEA FATUMA KARUME KATIKA MADAI YAKE YA BILIONI MOJA KWA POLISI ALIYEMSHIKA BILA RIDHAA YAKE

Rais wa chama cha wanasheria nchini na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ataongoza jopo la mawakili 29 watakaomtetea Wakili Fatma Karume Katika Kesi Yake Ya Kushikwa Mwili Wake Bila Ya Ridhaa, Kuvutwa Kwa Nguvu Na Kusababishiwa Madhara Katika Bega Lake.
Image result for fatma karume with tundu lissu images 
            FATMA KARUME NA MHE TUNDU LISSU
 Katika Kesi Hiyo Iliyofunguliwa Mahakama Kuu Ya Tanzania, Bi.Fatma Anamdai Fidia Ya Shilingi Bilioni Moja, Inspekta Eugen Mwampondela Wa Kituo Kikuu Cha Polisi DSM. Fatma Karume amshtaki Polisi aliyemzonga Mahakamani, adai fidia ya bilioni moja
Kesi Itakapoanza Kusikilizwa, Mtuhumiwa Atatakiwa Kuwepo Kizambani Kujieleza Na Kujibu Maswali.

Cross Examination za Tundu Lissu hazijawahi kumuacha askari salama

 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 maoni :

Chapisha Maoni